Home > Terms > Swahili (SW) > kitambaa cha meza

kitambaa cha meza

kitambaa cha meza ni nguo ya kutumika kufunika meza. Zingine ni hasa vifuniko vya mapambo, ambavyo vinaweza pia kusaidia kulinda meza kutoka vikwaruzo na baka. kitambaa cha meza nyingine ni iliyoundwa kuenea juu ya meza ya dining kabla ya kuweka kifaa cha meza na chakula. Baadhi ya nguo zilimeundwa kama sehemu ya jumla ya mazingira ya meza, na kuratibu leso, placemats, au vipande vingine vya mapambo.

0
Toevoegen aan mijn woordenlijst

Wat wilt u zeggen?

Je moet inloggen om aan discussies te kunnen deelnemen.

Terms in the News

Featured Terms

Ann Njagi
  • 0

    Terms

  • 0

    Woordenlijsten

  • 12

    Followers

Industrie/Domein: Communication Category: Postal communication

deltiology

Deltiology inahusu ukusanyaji na masomo ya Postikadi, kwa kawaida kama hobi.