Home > Terms > Swahili (SW) > mshumaa ya pasaka

mshumaa ya pasaka

Linatumika kuelezea mshumaa kubwa nyeupe linalotumika katika mifumo ya Magharibi ya Ukristo (kwa mfano, Katoliki ya Warumi na Anglikana). Mshumaa mpya ya Pasaka hubarikiwa na kuwashwa kila mwaka wakati wa Pasaka, na hutumiwa katika msimu wa Pasaka na kisha katika mwaka wa hafla maalum, kama vile ubatizo na mazishi. Siku ya Ijumaa Kuu, makanisa mengi huzima mshumaa ya Pasaka kwenye madhabahu yao ili kuonyesha kwamba mwanga Yesu imeondoka. Katika Katoliki ya Warumi na makanisa mengine, mshumaa ya Pasaka huwashwa siku ya Jumapili ya Pasaka karibu na madhabahu kuu, kuwakilisha Yesu kurudi kwa uhai. Kisha mshumaa huwashwa siku 40 inayofuata, mpaka izimwe Siku ya Kupaa.

0
  • Deel van toespraak: noun
  • Synoniem(en):
  • Blossary:
  • Industrie/Domein: Festivals
  • Category: Easter
  • Company:
  • Product:
  • Acroniem-Afkorting:
Toevoegen aan mijn woordenlijst

Wat wilt u zeggen?

Je moet inloggen om aan discussies te kunnen deelnemen.

Terms in the News

Featured Terms

Heya
  • 0

    Terms

  • 0

    Woordenlijsten

  • 0

    Followers

Industrie/Domein: Culture Category: People

Eneo la urithi wa dunia la Shirika la Elimu,Sayansi, na Utanaduni la Umoja Wa Taifa.

Ni eneo linalotambuliwa na Shirika la Elimu,Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Taifa kama sehemu yenye thamani maalum ya kitamaduni. Linaweza kuwa ...

Featured blossaries

Bilingual Cover Letters

Categorie: Languages   1 14 Terms

Antioxidant Food

Categorie: Food   1 8 Terms